clonazepam
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 247
- 281
Enzi hizo anajiita nature man.ndani ya kundi la FSG.usiwekwa,nkumbushe ntaiweka nikitulia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Song moja la
Ibu & Mr Blue - hatufanani /haiwezekani
Anayelikumbuka anisaidie pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sebene la werrason zenith na ukisikiliza radio likiisha tu ilo sebene wanaonganisha na sebene lingine hapohapo yaaani kama unalewa ndio utazidi agizia bia......Unatumia simu gani na player gani kuskiliza hizo nyimbo aisee...?
Una-save kwenye simu au memory...?
Nasave kweny simu...player ni Google play...li simu ni samsung.Unatumia simu gani na player gani kuskiliza hizo nyimbo aisee...?
Una-save kwenye simu au memory...?