Natafuta Sana Nyimbo za Dr. Remmy Ongala zile za injili alizotoa baada ya kuokoka..

Hapa nnazo mbili tu

1. Kwan Yesu kuna furaha
2. Dunia kwaheri.

Kwa mwenye zingine zaidi ya hizo hapo mbili juu aweke hapa ntashukuru sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani..nimefanikisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo wa soggy dog hunter- mtoto wa marehemu,

Machizi wa hatari- vita baridi

Dataz ft squeezer - I hate you

Mabaga fresh - Hakuna noma wala ngendembwe

Kama unazo pia za university corner ntashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Kuna audio moja hv ya stamina ina punch line 100.Haina jina,ila wengi tunapenda kuiita punch line 100.Mwenye nayo anisaidie wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…