Nakumbuka ulikua umeandikwa Havily - Tell me but nikiutafuta siupatiUnaimbwa kama ifuatavyo.
¶ Naona muda unazidi kwenda baby, na masiku yanakatika baby, ningejua kitu unachotaka kunambiaa, Niambieee... Niambiee mpenzi
Basi niambie... Tell me w... Me naomba niambie... Tell me w...Niambieee, niambie mpenzi ¶
Ni wimbo wa kitambo HV, So naomba msaada nani kaimba na waitwaje..
Asante..
Ushaupata? Ninao huuJamani kuna huu wimbo, ni wakitambo hvi.. Miaka kama 2007,2008 ilibamba sana.. So naomba jina
la wimbo na wasanii waloimba, maana yupo Boy na girl..
Nafahamu kiitikio tu cha huyo girl
"Mwenzio naogopa.. Naogopa nitajikata mie.. Huuuuu uuuuumama"
Jamani, hz ni fani za watu me siwezi kuimba ila nadhan mtakuwa mumeupatapata huo wimbo..
Umeshaupata?Nimeusaka sana wimbo wa Kapteni John Komba "MGENI". Unazungumzia ugonjwa wa UKIMWI.
Atakayeweza kunipatia huo wimbo namtumia shilingi elfu 10 cash.
Unaitwa Tell me why- Shaky na AvilyUnaimbwa kama ifuatavyo.
¶ Naona muda unazidi kwenda baby, na masiku yanakatika baby, ningejua kitu unachotaka kunambiaa, Niambieee... Niambiee mpenzi
Basi niambie... Tell me w... Me naomba niambie... Tell me w...Niambieee, niambie mpenzi ¶
Ni wimbo wa kitambo HV, So naomba msaada nani kaimba na waitwaje..
Asante..
Banana Mapenzi ganiNaomba mnisaodie wimbo sikumbuki umeimbwa na nani hata jina siujui ila una kionjo kimoja kinasema hivi ...kama mapenzi yalikuwa zama zamani
Washikaji(Soul N Faith) - MsamahaKuna wimbo sijui aliimba nani lakini unaitwa mama msamaha wa zamani huko miaka ya 2005 huko
Nakuomba mama msamaha nionee Huruma
Bakunde walihusika kuutengeneza
Mwanye nao anirushie
E&K
Nitakuwekea baadaye.. NinaoKuna Wimbo aliimba Bizman kwenye album yake ya Nipe Muda kama sikosei. Moja ya nyimbo alizoimba ni Nipe Muda, Mabinti wa kibongo, nk.
Sasa kati ya hizo kuna wimbo siukumbuki jina ila maadhui yake ni kwamba mwanaume hawezi shindana na mwanamke hata awe na msuli vipi. Mwanamke anaweza kukuua hata kwa ua.
Sijui nitaupata wapi huo wimbo. Nimekuja sana hapa jf bado sijaupata. Nilimtafuta Bizman anitumie lakini jamaa kimya hata hajibu.
Mwenye nao anitumie tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona upo mkuu..Mwimbo wa HONGERA unitwa "MASHABIKI" haujawahi kupatikana tena popote[emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Stopa aliimba Jerome wimbo unaitwa WazaziWakuu natafuta wimbo wa STOPA unaimba hivi ''niko radhi nianguke kwa magotii iiiiiiii ninahaki ya kujua kosa langu mimi nije niombe samahani'' wakuu mwenye nao auweke nimeutafuta sana
Ngwair ft mirror-maskini wenzanguNatafuta wimbo wa Ngwair unaitwa masikini wenzangu nishatafuta sana bila mafanikio
Unaitwa SivutiiNautafuta wimbo wa tundaman na spack unaitwa SIJUTII uko kwe album yao ya pamoja
Kuna raundi ya pili piaMkuu kuna mwingine ameimba na kina wana chemba, mrisho unaitwa utamu
Fagio la chuma hao.. Wimbo unaitwa Omba umautiMi nutafuta huu sijui hata nani aliimba...
"Inakuwa kilio dunia inapoelekea
Tunapigwa mshangao na mengine tusoyajua,
Mwanadamu aliye na akili timamu macho,
Anafanya mapenzi na maiti bila kificho,
Eti kisaa yuko mochwari ward ya maiti,
ndio anayqfanya hayo hajui kwamba si haki,
kweli inasikitisha umauti ukifika kwako ,
Jee utajisikiake wakikufanya wenzako,
Ona Gile analia wenzake wanamcheka ,
Kaka yake kawa shoga wenzake wanamcheka,
Ah piga moyo konde kwani amepanga rabuka,
na jambo akipanga kulipangua si ruhsa,
Ona maofisini mama ana mini la ajabu,
Yani juu ya mapaja wanaume wanapata tabu,
Ndioaana unasikia mti kamsaliti mkewe,
Jana wamegombana kamuacha kakuoa wewe"
Daah ngoma kali sana ila sijui aliimba nani ... mwenye kujua anisaidie!
Asante sana. Kuna siku nilimtafuta Bizman akanijibu tu kuwa ninao lakini mpaka leo hakutuma.