Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aisee nimemuona Daz Baba pande za Segerea imenifanya nikumbuke sana ile ngoma yake ya Elimu Dunia aisee.

Haya maisha haya. Acheni tu Wakuu. Hebu sondosheni hilo pini wakuu. Heshima kwenu sana wakuu kazi mnayoifanya hapa sio ndogo wakuu gwankaja, KIOO, Idimi
 
Attachments

Hii hapa man.
 
Attachments

Back
Top Bottom