Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 622
Ooh thanks sana.Jaribu huu
Mimi pia nautafuta huu wimbo
Tunaomba basi huo wimbo wa mass media uitwao beatrice (yumo Zahir Zorro na bendi yake)
jamani ina maana wimbo wa mzee zorro beatrice ndio haupatikani [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Natafuta nyimbo ilikua inapigwa na zamaaani radio tanzania n ya watoto inaimbwa hiviii
" watoto wasafi moyoni n nyota za wazazi sisi ni maua tuliopandwa na Mungu mwenyeziiiii lalalalalala lalalalaaaaaaa lalalaaaaa""
Wakuu nipeni nyimbo za Emanuel nkulila, hasa ule wa "miss Tanzania"!
wimbo unaitwa hitaji umeibwa na Blue three
Juliana inaitwa nabikoowaKuna wimbo fulani wa uganda, sijui ni nani kaimba sauti kama nameless na mdada fulan hiv, anaimba i Love Omukwanoa, i nees omukwano
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa mkuuMkuu umetisha sana. Ikikupendeza nitumie namba yako PM nikushukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
KIOO na wenzako
Kuna ngoma za Tmk Majita
1. Twende
2. Nanianabisha
3. Nenda (we nenda tu)
3. Na zingine zao kama unazo
Sent using Jamii Forums mobile app