Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomba wimbo "Mkataa pema"

Maombi ya kutaka turudianeee,,, nimesikiaa unalalamikaaaa
Maisha kuishi na wanangu etii huyawezi.
 
Nautafuta wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani jina la wimbo ni Gita ulikuwa anachezwa sana na kituo cha TV cha C2C enzi zile ila kila nikiutafuta siupati.
 
Naomba,kupatiwa wimbo,aloimba Sam was ukweli,barnaba NA Linex,unakionjo kinachosema ,hata chakula chenye chumvi kinamwagwa,..
 
Tunaomba basi huo wimbo wa mass media uitwao beatrice (yumo Zahir Zorro na bendi yake)
 
Back
Top Bottom