Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ule wimbo nambari wani ee nambari wani ni ccm nyerere tieni kawawa tieni.
Naomba uwe wimbo wa taifa heheheeee
 
Sheila by Esther Wasira.
Mwenye uwezo wa kunitumia huu wimbo,nauomba tafadhali.
 
Kuna wimbo wa kitambo unaitwa MOYO nilisikiaga ni wa Dj kata. Nimeutafuta kila sehemu bila mafanikio!

"mawazo wanipa moyoo... oo moyo wangu. Utakuja niua bure ..oo wangu moyo. Moyo naomba unihurumieee .. ooo moyo.. nimekosa nini miee ...oo wangu moyo..!!

Nikiupata huu wimbo nadhani ntausikiliza siku nzima!
 
Sandra by diamond musica.. Valentine day(jumamos) by diamond sound.. Mama laila by chuchu sound... Mtoto akililia wembe by TOT plus... Mapenz hayana kiapo by Twanga pepeta..please mwenye nazo atuwekee
 
1.Mamou remix by James Dandu ft Madilu system
2. Sijui jina ila ni wa zamani sana unaimba hivi
"Ooh Maria bembeleza mwana, misitu mikubwa wanyama wakali tutaliwa na simba. Oooh Maria"...nautaftaga sana
 
Back
Top Bottom