Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Umeimbwa na Enya unaitwa Once you had gold.Zitakuwa playlist za mwanamama Enya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeimbwa na Enya unaitwa Once you had gold.Zitakuwa playlist za mwanamama Enya
Mungu akubariki sana nmesota sanaVictoria Eleyson
Ntalala barabarani, mwenye nao akiweka anitagKijogolo sina nyumba wa Chezimba band.
thanx mkuuamani by mch. Abiudi
Valentine day by diamond sound...sumbungengi by fm academia..mdau mwenye hz ngoma please..ziweke
Huo valentine day upo kwenye jukwaa moja huku jf mm pia ninao kwenye pc ila nashindwaga kuuweka huku. Kama vp nipe namba nikutumie kwa whatsappValentine day by diamond sound...sumbungengi by fm academia..mdau mwenye hz ngoma please..ziweke
Kweli?? Nitumie namba yako nikutumie kwa whatsapp saivi afu ww utaziweka huku, mi mshamba kidogo sijui kuweka jfWadau mwenye nyimbo za mwinjuma muumini kwenye ile albam ya tunda maisha kitendawili weka ata albam nzima af ni pm nikupe posho kidogo
Jf kuna vichwa subiri utauona saivi naamini kuna mdau anao mkuuMkuu ukiupata nitag
[emoji1] ngoja nifahamu namna ya ku-upload nitauweka hapa na kukutag pia.Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na EnyaNatafuta wimbo ambao ni instrumental, hutumika TBC tv kuambatana na matangazo ya wafu. Siujui jina.
Ukiupata nitag, huu wimbo ulimkimbiza mtu mombasa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pete wa juma bhallo.
Ngoja niucheki online, nitaleta mrejesho soon.Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na Enya
Ninao kwenye laptop kuuweka ndio tatizo.Wimbo flani hivi mashairi yake yanasomeka - [emoji444]" baada ya kumaliza masomo nilipata kazi, wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu"......-Halaf kibwagizo- " nawashukuru wazazi wangu wakati wote, ushauri wao uliniletea mafanikio mema sasa naishi na watu vizuri oooooh jamaa"
Wapi ntaupata bandugu?
Vijana jazz wameimbaHyo jiko limenuna cyo Wa zigzag crew kweli?
Nakusubiri hapa uniambieNgoja niucheki online, nitaleta mrejesho soon.