Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
'Lekambuke' na 'watasema watachoka mimi nakupenda' By Caz T mwana wa komba.Tafadhali sana mwenye nazo jamani.
 
Kuna sehemu mwishoni eti wanaimba “kwenye starehe Tinga Tinga limefikaje??” Sijui walikuwa na maana gani hawa Kina Banza
Alikuwa na bifu na ally choki na walikuwa wanarushiana sana vijembe. Kuna uzinduzi flani Wa album ya twanga Choki aliingia na buldoza au katapila ukumbini diamond jubilee kama sikosei ikiwa ni staili yake, ndipo banza akatandika dongo kwenye wimbo Wa Tot uliofata.
 
Mimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Huo Wa kwanza ni Wa Suma Lee unaitwa 'rafiki' nipatapo fursa ntauweka na ule Wa mpiga debe kuna mdau kaulizia manake haupo kwenye simu na PC sinayo hapa
 
Wimbo flani hivi mashairi yake yanasomeka - [emoji444]" baada ya kumaliza masomo nilipata kazi, wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu"......-Halaf kibwagizo- " nawashukuru wazazi wangu wakati wote, ushauri wao uliniletea mafanikio mema sasa naishi na watu vizuri oooooh jamaa"

Wapi ntaupata bandugu?
 
Mama by gk, lekambuke, nakupenda by Caz T mwana Wa komba,'sikutaka' original version by unique sisters,amri kumi by dudu baya,
 
Lady jay dee wimbo nadhani upon ktk album yake ya kwanza kama ckosei una maneno 'ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda,nakupenda,oooh I love you!! Naombeni kujua jina LA wimbo na kama yupo mwenye nao plz!
 
Back
Top Bottom