Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Minatafuta nyimbo za dini albamu ya vijana wa Arusha enzi hizo kunfi la New Life Band. Albamu nzima kama sikosei inaitwa Asante Yesu, ikiongozwa na akina Amoni Kilahiro, Upendo kilahiro, Sarai na wengineo. Ilikuwa chini ya New Life Ministries Chini ya mdenmark Elgon Falk. Ntashukuru nkiipata
 
Maisha ooh maish.......
maisha haya maish...........
Ipo siku nami Nitayapatia.....



Cjui nan kaimba nautafta hatar......
 
Kwa vyovyote wa Afande Sele ulikuwepo kwenye album ya darubini kali.
Ukiupata huu wimbo nitag mkuu, mim nilikuwa nao kwenye cassette, na kuna wimbo pia unaitwa "nasikitika kunitosa" (sina hakika na jina) pia una remix yake upo kwenye hiyo album nautafuta pia
 
Mwenzenu nimekumbwa na kimbunga
Si kimbunga cha upepo Bali kimbunga
Cha mapenzi mama
Toka siku ile ya kwanza nilipomuona
Msichana mrembo jully nilishindwa kujizuia nikamweleza wangu ukweli yakua
Nimpenda nae akanijibu jully asante kwakunipenda.dah wakuu hii ngoma hatari aliimba Bob ludara jina silijui nisaidieni niupate
Ninao hata youtube upo. Tunashindwa namna ya kuapload
 
Nitafurahi nikipata nyimbo hizi zifuataz0

Rafiki - Mr Nice
Wachumba 30 - John Mjema
Nasonga Mbele - V2
Baby Gal - Mad Ice
Sintobadilika - Mike Tee
Maisha ya Boarding - Jay Moe
Jela - LWP
Nani kauona Mwaka - Sikinde
Naomba unitag kama umepata hizo nyimbo
 
Mwenzenu nimekumbwa na kimbunga
Si kimbunga cha upepo Bali kimbunga
Cha mapenzi mama
Toka siku ile ya kwanza nilipomuona
Msichana mrembo jully nilishindwa kujizuia nikamweleza wangu ukweli yakua
Nimpenda nae akanijibu jully asante kwakunipenda.dah wakuu hii ngoma hatari aliimba Bob ludara jina silijui nisaidieni niupate
Unaitwa Julie... naukubali sana huu wimbo pia, nilisota kuupata!ngojaga nakwinhe ong'wise
 
Kuna wimbo wa young d, Ata jina siujui, bt nliuskilza sku moja tu 2013, nkaupenda xana. Ni rap song, kwnye kiitikio alkua anataja almost sentens moja tu na kuirudiarudia, ambayo ni "pop my colour"
 
Back
Top Bottom