Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kuna wimbo wa gospel umeimbwa na Reuben Kigame. Unaitwa I have been searching. Nina shida nao sana, naomba msaada wa hali na mali
 
Kuna nyimbo moja hivi imeimbwa na jamaaa mmoja (CASE, MISSING YOU) nShangaaaa ile nyimbo YouTube hamn yaweza patikan wa p mwenye kujua
 
Natafuta mwimbo wa dini ....hakuna chakutega na Wewe yesu ....je ni nja,..je nishida...korasi inaimba iv...we ni Mungu warehema na pendo..upendo wako niwaajabu ulianza kunipenda toka mwanzo mimi ninasema asante...
So ukinitajia jina nitautafuta Mwenye ukiweka apa nitashklu..mwimbaji nikijana
 
Jamani natafuta ule wimbo unaopigwa redio Deutsche welle siku ya jumapili mchana kwenye makala ya Africa wiki hii!
Mtunzi/msanii aliyeuimba simfahamu, lakini kwa wafuatiliaji wa hiki kipindi huwa unapigwa mwanzoni na mwishoni mwa kipindi kama kibwagizo! Nakumbuka baadhi ya mashairi yake " oooooooh! Africa.... Oooooh Africa piavipambaaaa..….." Huko mbele siuwezi kuuimba vizuri hivyo Mwenye nao masaada please.
 
Mi natafuta ambao kabla mwalimu mwakasege hajaanza mahubiri unasikika
Sijui unaitwaje ule wimbo
 
Nitafurahi nikipata nyimbo hizi zifuataz0

Rafiki - Mr Nice
Wachumba 30 - John Mjema
Nasonga Mbele - V2
Baby Gal - Mad Ice
Sintobadilika - Mike Tee
Maisha ya Boarding - Jay Moe
Jela - LWP
Nani kauona Mwaka - Sikinde
Wa Sikinde, Mad Ice na Mike T ninazo. Nipm namba yako nkutumie whatsap
 
Back
Top Bottom