Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
'Naomba unipende kama nilivyo mi msela' sikumbuki umeimbwa na nani
 
Kuna wimbo Fulani sjui bendi gani..unaimbwa RUDI nyumbani tulee watoto ooooo !!! Kati ya mashjaa bend au daimond musica
 
Ninaoutafuta ni wa zamani kidogo, nakumbuka nikiwa Dodoma kwenye Mwaka 1981 walikuja Marquiz Du Zaire wakapafomu kwenye uwanja wa Jamhuri, moja ya wimbo ulionigusa sana unaitwa CCM. Mimi sio mpenzi wa ccm, lakini naupenda huo wimbo nimeutafuta kwenye mtandao sijafanikiwa kuupata. Naongolea Marquiz ya Ogelea Piga Mbizi ikiwa na King Kiki, Supreme Ndala Kasheba na Nguza
 
Nitafurahi nikipata nyimbo hizi zifuataz0

Rafiki - Mr Nice
Wachumba 30 - John Mjema
Nasonga Mbele - V2
Baby Gal - Mad Ice
Sintobadilika - Mike Tee
Maisha ya Boarding - Jay Moe
Jela - LWP
Nani kauona Mwaka - Sikinde
Nnazo zote nitafte PM
 
Back
Top Bottom