Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
kuna wimbo nautafuta jamani sijui jina la msanii walaunaitwaje ila baadhi ya maneno yaliyo kwenye kiitikio chake ni (......bado nina wivu naye).nahisi aliye uimba ni moja ya watangazaji wa Clouds.mwenye kuujua tafadhali anipatie jina la wimbo na jina la msanii ili iwe rahisi kuutafuta
 
Mie natafta hizi
1. Hard to say goodbye wa dolly patron.

2. Taarabu flan ya kale..inataitwa "kitanda"

Nakumbuka chorus kidogo " kitanda kama ni hiki na mambo kama ni haya tangu leo nakiacha" sikumbuki mtunzi.

Asante
 
Back
Top Bottom