Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wadau mwenye nyimbo za mwinjuma muumini kwenye ile albam ya tunda maisha kitendawili weka ata albam nzima af ni pm nikupe posho kidogo
 
LE TENANT DU TITRE wa JB Mpiana na Bendi yake nzima Kipenzi changu ya Wenge BCBG ambapo Mghani / Rapa kwa Kiswahili au Atalaku kwa Kilingala au Animateur kwa Kifaransa ninayempenda kuzidi maelezo na niliyechukua jina lake na kulitumia rasmi humu JamiiForums aitwae GENTAMYCINE ( majina yake halisi Pitshou Lisimo ) alifanya Kazi ya ajabu humu huku akisaidiana kwa karibu sana na Baba wa Marapa / Waghani wote Congo DR Tutu Caludgi ( majina yake halisi Yombo Lumbu ) na pembeni yao wakimtambulisha Rapa / Mghani Kijana kabisa ila bahati mbaya sasa hivi ameshatangulia mbele za haki CELLULAIRE Mokili Mobimba ( majina yake halisi Faustine Nzinga Yankobo ) Kwa mpenzi yoyote wa Nyimbo za Kikongo akiusikiliza huu Wimbo hasa sehemu ile ya Sebene lake nina uhakika hata akiwa anambaiolojia Mkewe au anabaiolojiwa na Mumewe ataacha Kwanza ili aserebuke nao kwani ni moja ya Wimbo mtamu na umejaa kila kitu huku Vyombo vyote vikitulia kabisa. Nautafuta sana mwenye nao aniwekee hapa tafadhali na nitamshukuru mno / sana tu.
 
Nitafurahi nikipata nyimbo hizi zifuataz0

Rafiki - Mr Nice
Wachumba 30 - John Mjema
Nasonga Mbele - V2
Baby Gal - Mad Ice
Sintobadilika - Mike Tee
Maisha ya Boarding - Jay Moe
Jela - LWP
Nani kauona Mwaka - Sikinde
Hapo nina nyimbo km 3 kwa phone yangu Maisha ya boarding,hiyo ya mike tee na nani kauona mwaka
 
Back
Top Bottom