band inaitwa mass media wimbo unaitwa Beatrice na mm nautafuta saaana mtu saidie wadau kama mnao
Juma nature, p funk etc- ndani ya club mwenye huu wimbo anidondoshee tafadhali.
K- basil- sikumbuki exactly jina la wimbo ila ina maneno kama " kweli bahati haiji mara mbili, nlikutenda moyoni sikukujali"
Sent using Jamii Forums mobile app
Free soul Grace matata
SALIMA aloimba PAPII KOCHA... Duuu YouTube siupati,nautafuta sana aisee...alienao plz
Natafuta wimbo wa Emmanuel nkulila unaitwa pain in me kuna dada amemshirikisha.
Mahaba ya dhati - Nasma Khamis. Naomba mwenye huu wimbo anisaidie
Kuna wimbo wa zahur ally zohro unaitwa nadhani beatrice kama ntakua sijakosea nautafuta sana wimbo huu
Natafuta wimbo wa
chelea man-nipende kama nilivyo msela
Wakuu nisaidieni hizi nyimbo...
Mapenzi sumu-Mad Ice
Mama Halima-Linex
Nipe nafasi-Baridi
Mtoto wa dar-Mon G
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaitwa Aziz Azion, ngoma inaitwa Omukwano.
Nenda YouTube utaikuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nisaidieni hizi nyimbo...
Mapenzi sumu-Mad Ice
Mama Halima-Linex
Nipe nafasi-Baridi
Mtoto wa dar-Mon G
Sent using Jamii Forums mobile app