Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Juma nature, p funk etc- ndani ya club mwenye huu wimbo anidondoshee tafadhali.

K- basil- sikumbuki exactly jina la wimbo ila ina maneno kama " kweli bahati haiji mara mbili, nlikutenda moyoni sikukujali"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Back
Top Bottom