Attachments

Hahahah, tatizo siitumii kabisa pombe mkuu. Thanks.
Ilikua utani mkuu....nimeziona japo kwa kuhangaika.cm nyingine zina mbwembwe sana.inaelekea una gallery ya kutosha ya nyimbo mbalimbali

Sent using infinix zero4
 

Attachments

Kuna nyimbo inaimbwa hv " i love love i love u babey....babeey babeey...sema unachotaka babey nitakupa babeeey" ni wimbo wa kibongo sijui aliimba nani niliuskia zamani msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freestyle za Nikkimbishi , godzilla mwaka 2008 kwenye clouds freestyle competition kuna moja nikkimbishi alianza kwa kuchana akisema "namuona fetty amekaa kwenye kiti kwa naona mic.....msaada wana jamvi mwenye hizi freestyle nmezitafta bla mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wimbo wa zamani wa saidi comolien jina nimelisahau unaimba sogea karibu tafadhari nisikilize maombi yangu oooh nakupenda
 
Kioo pleaseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…