Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Hahahah, tatizo siitumii kabisa pombe mkuu. Thanks.
Ilikua utani mkuu....nimeziona japo kwa kuhangaika.cm nyingine zina mbwembwe sana.inaelekea una gallery ya kutosha ya nyimbo mbalimbali

Sent using infinix zero4
 

Attachments

Freestyle za Nikkimbishi , godzilla mwaka 2008 kwenye clouds freestyle competition kuna moja nikkimbishi alianza kwa kuchana akisema "namuona fetty amekaa kwenye kiti kwa naona mic.....msaada wana jamvi mwenye hizi freestyle nmezitafta bla mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wimbo wa zamani wa saidi comolien jina nimelisahau unaimba sogea karibu tafadhari nisikilize maombi yangu oooh nakupenda
 
Kuna nyimbo moja sijui kaimba Nani upo hivi:-

Mtoto harufu mbaya, imetawala mwiliniii
Nipo njiani miaka mingi, naelekea sayarini
Navuka mito na mabonde, ili nifike sayarini
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihani mamamamaaaa ×2

Ni Safari ndefu, iliyochokuwa miaka mingii.........

Nautafuta saana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kioo pleaseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom