last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Hii ni aina gani ndo mchirikua au, kuna mchiriku fulani hivi nausikia ni kama kundi la aina hiyo ila ni wanaimba mama jeni mama jen, yuko hapa yuko hapa,kama wewe ni msikilizaji wa hizi song nielekeze mkuu
check na huuEbana wakuu mi natafuta wimbo mmoja siujui jina lalini ni wa mda kidgo kati ya 2003 mpaka na tano,moja kati ya mashairi yanasema "we ndo wangu tunda maira,we ndo wangu mama,we ndo wangu tunda maira,ona jinsi unavyontesa"
Na sehemu nyingine anasema "hivi majirani wamekwambia nini nambie,najua una ujauzito inabidi baby utulie,ujue unamtesa mtoto etc".Una maadhi ya bongo flavour atakayenisaidia ntashukuru sana,kuna mtu ashanambia kua aliimba Andrew G lkn nimejaribu kutafuta nyimbo zake hiyo nyimbo haipo
Unaitwa hivyohivyo - Aah Ana ana do - umepigwa Na Sogy Doggy ila ngumu kuupata mie nishautafuta sana tu. Tafadhali ukiupataMimi ninatafuta wimbo fulani wa bongo kitambo kidogo MSHIKAJI anaimba kama anakigugumizi wa hot port family sijui ni soggy dog hanter? Unaimbwa haha ananodo hot port kamili gado mh mh mambo bado mh mh mhmmm!
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta wimbo unaitwa Jerusalemu ni wa rege msanii jina limenitoka.... Unaimbwa hivi
Barouh atat Adonai
Barouh atat jerushalaim..
Jeeeerusalemu here i am...
Jeeeerusalem giteim giteim
Shalom, salamalekhum...
Mwenye Audio yake naomba please
Alafu naombeni mnielekeze site nzuri ambayo naweza dowlod audio mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna song moja ya reggae inaimba Marley was the rastaaa! Alafu chorus yake wanajibu.....was the...elilelelalelaaa bonge la wimbo aliimba Ziggy Marley hii nyimbo miaka ya 90's jamani mwenye nayo aitupie
Kuna wimbo fulani wa uganda, sijui ni nani kaimba sauti kama nameless na mdada fulan hiv, anaimba i Love Omukwanoa, i nees omukwano
Sent using Jamii Forums mobile app
k basil hapo kati.. nasapoti ipatikane.Juma nature, p funk etc- ndani ya club mwenye huu wimbo anidondoshee tafadhali.
K- basil- sikumbuki exactly jina la wimbo ila ina maneno kama " kweli bahati haiji mara mbili, nlikutenda moyoni sikukujali"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nautafuta wimbo wa Sijali-Kasim Mgangak basil hapo kati.. nasapoti ipatikane.
Maumivu mangapi ya moyo niliyoyapata sijali.. Sijaliii..Nautafuta wimbo wa kasim mganga-sijali
Ngoja nikuchekieHabarini. Mimi natafuta wimbo wa Q chief, una maneno kama akina Fulani wanakudanganya mke wangu, rudi nyumbani usiutese moyo wangu.
Asante Sana mkuu Sasa nitapataje jina kamili la album ili nifanye juhudi nipate full album au Kama ukiwa fresh itupie humu pls mkuu.Sio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Nakusubiri mkuu hata mwezi nipate kitu roho inapendaSio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Hahahah subiria desemba mkuu!Natafuta wimbo wa Christmass,siujui jina lake,ila huimbwa ,,"Aiyolele mamaa aiyolelee,aiyolelee mamaa,aiyoleleee,viva krismas,viva krismas"TBC huucheza sana wimbo huu ikifka disemba
Hahah hizi nyimbo hizi...dah!Kuna wimbo unaimbwa "siwezi sema kwanini niliachana na yeye siwezi sema sababu ya kutengana na yeye" yupo banana zorro
Sent using Jamii Forums mobile app