Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ebana wakuu mi natafuta wimbo mmoja siujui jina lalini ni wa mda kidgo kati ya 2003 mpaka na tano,moja kati ya mashairi yanasema "we ndo wangu tunda maira,we ndo wangu mama,we ndo wangu tunda maira,ona jinsi unavyontesa"
Na sehemu nyingine anasema "hivi majirani wamekwambia nini nambie,najua una ujauzito inabidi baby utulie,ujue unamtesa mtoto etc".Una maadhi ya bongo flavour atakayenisaidia ntashukuru sana,kuna mtu ashanambia kua aliimba Andrew G lkn nimejaribu kutafuta nyimbo zake hiyo nyimbo haipo
check na huu
 
Attachments

Mimi ninatafuta wimbo fulani wa bongo kitambo kidogo MSHIKAJI anaimba kama anakigugumizi wa hot port family sijui ni soggy dog hanter? Unaimbwa haha ananodo hot port kamili gado mh mh mambo bado mh mh mhmmm!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaitwa hivyohivyo - Aah Ana ana do - umepigwa Na Sogy Doggy ila ngumu kuupata mie nishautafuta sana tu. Tafadhali ukiupata
 
Natafuta wimbo unaitwa Jerusalemu ni wa rege msanii jina limenitoka.... Unaimbwa hivi

Barouh atat Adonai
Barouh atat jerushalaim..
Jeeeerusalemu here i am...
Jeeeerusalem giteim giteim

Shalom, salamalekhum...

Mwenye Audio yake naomba please

Alafu naombeni mnielekeze site nzuri ambayo naweza dowlod audio mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Sio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Kuna song moja ya reggae inaimba Marley was the rastaaa! Alafu chorus yake wanajibu.....was the...elilelelalelaaa bonge la wimbo aliimba Ziggy Marley hii nyimbo miaka ya 90's jamani mwenye nayo aitupie
 
Kuna mwimbo wa rhumba flani. Nadhani ni wa bushoke
Mwisho wa kiitikio unaimbwa "hata kama umerara utaamuka....hata kama umerara hutaamuka!"

Mwenye nao antumie pls KIOO
 
Sio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Asante Sana mkuu Sasa nitapataje jina kamili la album ili nifanye juhudi nipate full album au Kama ukiwa fresh itupie humu pls mkuu.
 
Sio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Nakusubiri mkuu hata mwezi nipate kitu roho inapenda
 
Natafuta wimbo wa Christmass,siujui jina lake,ila huimbwa ,,"Aiyolele mamaa aiyolelee,aiyolelee mamaa,aiyoleleee,viva krismas,viva krismas"TBC huucheza sana wimbo huu ikifka disemba
Hahahah subiria desemba mkuu!
 
Hii ngoma ndio ilifanya watopee jela hawa jamaa! 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom