Itakua poa sanaNgoja nikuchekie
Hao Jamaa wanaitwa The GladiatorsSio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Wakuu ninaomba nyimbo hzo hapo kwenye orodha hata zisipokuwa zote natanguliza shukran
View attachment 1075866
Kama zipo youtube nipe muda kidogo leo. Nakuwekea zooote hapa kama audio. Ushindwe weweMkuu kuzipandisha ndio issue ila nimezikuta youtube..... Proverbial Remember bob marley.. utazikuta zipo zipo nyingi
Tunabang ya pasu kwa pasu mapacha naiomba
Asanteni kwa nyimbo mnazozi-upload...naomba mwenye wimbo wa BWII...uliimbwa na Chambersquad miaka ya 2000s.
Hatari sana ilo dudeMnabang kutoka Mwenge mpaka posta wakati Fid Q ana bang toka Dar mpaka Ulaya. Maujanja saplayaaaaaaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nitaurusha baadae kidogo