Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo flan kama zouk, unaimbwa "Samahani dada jina lako nani, mbona uko hapa unamsubiri nani, alichonijibu dada huyu kwa kweli kinasikitisha sana, ni upweke unaomsumbua" Idimi gwankaja na wengineo wengi tafadhali nimeutafuta sana naomba mwenye,nao
 
Sio ziggy.. hao jamaa album yao inaitwa remember bob marley kuna nyimbo kama mama africa, scholar boy, bob marlrey,
Lelalelalelaa oooh ziwandawandama..
Nina album yao ina track kama 11 ila iko ktk low quality ya tape to cd. Provibal ndio jina walilotolea album lakini wao sio probebial. Japo ni wa south nadhani.
Ila nitachelewa kidogo kukutumia coz nipo mbali na pc hadi next week.
Hao Jamaa wanaitwa The Gladiators
 
Wakuu ninaomba nyimbo hzo hapo kwenye orodha hata zisipokuwa zote natanguliza shukran
IMG_20190419_191444.JPG
 

Attachments

Asanteni kwa nyimbo mnazozi-upload...naomba mwenye wimbo wa BWII...uliimbwa na Chambersquad miaka ya 2000s.
 
Nataka nyimbo ya Juma nature na Stopper inaitwa Jiwe halafu Stopper inaitwa style tatu. Asante
 
Mnabang kutoka Mwenge mpaka posta wakati Fid Q ana bang toka Dar mpaka Ulaya. Maujanja saplayaaaaaaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nitaurusha baadae kidogo
Tunabang ya pasu kwa pasu mapacha naiomba
 
Back
Top Bottom