We da jo,tumekukubari na badoo,nadhani kuna swali,nabadooo.
 
Nautafuta sana Wimbo wa Dada remy remix, achana na ule wa Tabora jazz kuna huu umeimbwa sijui na kina nani, nimejitahidi mpka nmepata jina
 
KIOO mkuu nifanyie mpango wa ngoma ya Joni Woka ft Ras Lion- Mganga,
inaimbwa "hodi mganga,,mimi kwako nimekuja mganga...(we pita ndani)
nisaidie mganga madarakani nibakie mganga...(we pita ndani)
 
Wakuu hebu shusheni hili jiwe hapa aisee.

Bless my room when I wake up early in the morning. Hatari sana hiyo pini aisee.
hili dude nyoko sana man hasa kwasie wapenda bass za kutikisa nyumba, nililisahau sijui imekuwaje yani sema KIOO ur de baddest nigga alive! Live long Champ
 
sasa KIOO naomba utishe zaidi kwa kuntumia hizi my hitsong za genge of all the time:

1. E-Sir - Mos Mos
2. E-Sir ft Lenny- Kamata
3. Longombaz- Dondosa
3. Flexx- Amejibeba
4.P-Unit- Kadhaa original version
5.P-Unit - Hapa kule
6.Nameless - Amenipa juju
7.Nameless - nasinzia
8.Juacali - Kiasi
9. Mejja - Landlord
10. Karma n' pam, wyre ft Nyashinski - Sina noma nae
11.Mr.Lenny - Leo
12.Amani ft. nameless - Mimi na wewe
13. Besta - baby boy
14. Neccessary noise- Fire anthem
15.Wyre-Chuki
16. Amani - Natamani (tamani...tamanii)
 
Wakuu kuna wimbo unaitwa mpira pasi bwana kaimba nyang'au mmoja wa dar anaitwa kimbunga mchawi,mwenye nao tafadhali atupie hapa nimsikilishe mkuu wa kitengo atoe pass.
 
Wakuu mwenye wimbo wa juma jazz ft dully Sykes nataman autupie hapa..ntashkuru sana ..natanguliza shukran
 
Write your reply...1: mwanafa ft kwanza unit_haturap
2: nusu peponi nusu kuzim_hbc
3:Mwanafa ft dudu baya _vase moja
4: gwm_ yamenikuta
5: mack dizo ft inspector & balozi_homa ya jiji
 
Write your reply...msaada wakuu hii ngoma ya gwm ft mr 2 inanigomea ku download kwa mwenye nayo naomba msaada kwa whatsap 0755433179
 
Sio Kalai Boeing kweli?
 
KIOO na wadau wengine kuna hii ngoma ya Nai boi inayoitwa 2 in 1 ( Two in one) ni tamu sana..tafadhali idondoshe hapa tupakue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…