POTIZILLAH
Member
- Apr 30, 2011
- 87
- 158
Wakuu tunafail wapi kuupata
Je utanipa - h baba ft ester wasira, pasha
Je utanipa - h baba ft ester wasira, pasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu tunafail wapi kuupata
Je utanipa - h baba ft ester wasira, pasha
kati ya timu ya kifo na timu ya uhaiKioo na wengine
Naomba wimbo wa Solid Ground Family, unaitwa Mechi kali kati ya maradhi na vidonge kama sijakosea jina.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili dude nyoko sana man hasa kwasie wapenda bass za kutikisa nyumba, nililisahau sijui imekuwaje yani sema KIOO ur de baddest nigga alive! Live long ChampWakuu hebu shusheni hili jiwe hapa aisee.
Bless my room when I wake up early in the morning. Hatari sana hiyo pini aisee.
hao ni chuchu sound- kinyaunyauHii ni aina gani ndo mchirikua au, kuna mchiriku fulani hivi nausikia ni kama kundi la aina hiyo ila ni wanaimba mama jeni mama jen, yuko hapa yuko hapa,kama wewe ni msikilizaji wa hizi song nielekeze mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka plzz kama una wimbo wa zig zag crew jiko limenuna tuwasiliane 0754563187
Kaka plzz kama una wimbo wa zig zag crew jiko limenuna tuwasiliane 0754563187
Baba ukipata unigawie hilo goma 0755433179Kaka plzz kama una wimbo wa zig zag crew jiko limenuna tuwasiliane 0754563187
Kuna nyimbo moja ya kikongo siijui jina wala aliyeiimba ila inaimba ivi " Muzinaa, muzina litata helipepesantu muzina litatanzambee muzina"
Naomba kama kuna mwenye nyimbo hiyo tafadhali anitumie maana nimejaribu kuitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani kwenu wana jamvi.
inaitwa muzina kaimba tabuleySio Kalai Boeing kweli?