Mimi natafuta kule kikatuni cha chura kilichokuwa kinaonyeshwa kenye Chanel ya east african tv cha kipindi cha uswazi kama sijakosea mwanangu anakipenda nahitaji video zake kama zote zipo tafadhali
 
 

Attachments

 

Attachments

 

Attachments

Natafuta jina la wimbo huu
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu kuna wimbo unaitwa mpira pasi bwana kaimba nyang'au mmoja wa dar anaitwa kimbunga mchawi,mwenye nao tafadhali atupie hapa nimsikilishe mkuu wa kitengo atoe pass.
Tehteh hiyo ni hiphop kuna mwingine unaitwa mbongo by kimbunga mkuu kioo tuletee hizi ngoma chief.
 
Write your reply...1: mwanafa ft kwanza unit_haturap
2: nusu peponi nusu kuzim_hbc
3:Mwanafa ft dudu baya _vase moja
4: gwm_ yamenikuta
5: mack dizo ft inspector & balozi_homa ya jiji
 

Attachments

 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…