Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu naomba ngoma fulani ya Nigeria bang bang na ya Senegal ile Africa Africa Ehee sijui nani kaita...
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Kuna kwaya tokea Mbeya, siijui jina. Iliimba wimbo "ufunuo wa Yohana kisiwani Patimo, aliyaona haya baada ya kuteswa sana,........."
 
Uke wimbo wa zamani ambao yanga wakifungwa unawekwa status kwenye whatsapp nautafuta sana ila jina silifahamu vizuri
 
Wakuu naomba nyimbo zifuatazo please;
DKNOB FT DULLY SYKES-HIVI KWANINI UNANIPENDA!?
D.KNOB FT KBASIL-NJOO TUCHEZE
MADEE FT MANDOJO -KAZI YAKE MOLA
IZZO B-PISHA NIPITE
IZZO B-NAKABA KOO
MADEE-CHEZA KIDOGO
AFANDE SELE-NILIE NA NANI!?
BLACK RHYINO-HAPPY
JPOP-TUNAKUPENDA
 
Back
Top Bottom