KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
1.Nay wa mitego - mitego mp3 mwenye hii nyimbo tafadhari,
2.freestyle za nikkimbishi vs godzilla wakiwa clouds 2008 kwenye freestyle competition
Kioo vp hz nyimbo hazipo ????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Nay wa mitego - mitego mp3 mwenye hii nyimbo tafadhari,
2.freestyle za nikkimbishi vs godzilla wakiwa clouds 2008 kwenye freestyle competition
Kioo vp hz nyimbo hazipo ????
Habari wakuu.
ebana naomba wimbo flani hivi
kaimba NOORAH,RAY C na MWANA F.A
chorus kaimba RAY C ina sema,
KAZI RAHA VYOTE VINAENDA, PIGA KAZI UTAPATA RAHA.
gwankaja
idimi
kioo
natanguliza shukrani.
Dr Levy-Kula Yangu
Yesu ni Mungu , umeimbwa na kwaya huko kilimanjaroHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
MKUU bado ya Madee FT TID
na
Enika-Baridi kama hii
Bro KIOO kuna nyimbo nimekuomba za Izzo B pisha NIPITE na nakaba koo pls assist
Pamoja Sana kaka mkubwaMkuu ntashusha zote usjali tatizo wiki 2 hizi sijatulia kabisa napita kwa juu juu sana hapa jukwaani.
Ila ntazishusha tu request zote sio, usjali mkuu.
Pamoja sana.
Ilikua ni mimi mkuu, Sema hiyo nilikua nayo natafuta zingine kutoka kwenye hiyo album ya mwisho ya Marehemu Dr. Remmy.Kuna mdau aliomba hii ngoma ya Dr.remmy ongala sijui nani
PJNyama ni nyamaa...msanii nimemsau ya miaka 2004 hivi...
Wakuu vitu Adimu tuwekeeni.Wajuba naulizia nyimbo zifuatazo
1. Helena toka kwa kundi moja mkoani Morogoro likiitwa PEAPEA entertainment
2. Vitu adimu yake Madmax
3. Nakutamani yake mwanaApolo video queen alikuwa Mainda yule msanii wa bongo movie zamani
4. Machozi iliyompa jina Hussein machozi alirekodia tetemesha wakati huo yuko Kagera
5. Kapu la mjanja sikumbuki band ila humo ndani yupo Eddie Sheggy.
6. Akili za pombe muimbaji simkumbuki ila chorus alipiga Mr. Ebbo
7. nyimbo zote za Taarab alizoimba mwana mama mwanahela na coast modern taarab.
8. Maridadi sana huu wimbo uliimbwa na kanjibai mmoja kama song hivi.
9. Mkuraba mkuraba unamashauri gani ya matona.
10. Nyimbo za Tongolanga kwa mwenye nazo pia.