Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Mkuu kioo naomba wimbo wa afande sele unaitwa kama nitapata ukimwi
 
Wakubwa narudi kwa mara nyingi kuhusu Helena ya peapea entertainment kutoka Moro na Nyimbo za mwanahela.
 

Attachments

Naomba nyimbo ya Rich mavoko- Hata nazi ni tunda,
Sina uhakika kama ndio jna la wimbo bt anaanza kwa kuimba ivo
 
Jose Mtambo- Unaionaje

Adili - Jawabu

DKnob -hivi kwanini

Dknob- njaa ya mkwanja
Dknob-Nishike mkono

Chid benz ft kylnn -chid soo
 
Jose Mtambo- Unaionaje

Adili - Jawabu

DKnob -hivi kwanini

Dknob- njaa ya mkwanja
Dknob-Nishike mkono

Chid benz ft kylnn -chid soo
 

Attachments

Back
Top Bottom