Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye wimbo wa Nash MC mitihani naombaHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Poa mkuu ukipata time nitupie zingineDaaaaah mkuu hizo ngoma nilizokuwekea hapo hata robo sijamaliza kati ya hizi nilizonazo kutoka kwa huyo jamaa.
Tatizo nafasi inanibana kuna time ila ntaendelea kukushushia mawe yake jamaa yuko vizuri namkubali sana NAME.
Poa mkuu ukipata time nitupie zingine
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huoUs'waze kiongozi ntafanya hivyo bro. P1.
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
Unaitwa pengo. kila leo ninayo fikiria bwana pengo ili...Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
Yes huo huo mdau....hatimaye yametimiaUnaitwa pengo. kila leo ninayo fikiria bwana pengo ili...
Huo huo mdau nauomba kama unaoSio waswahili by nature wimbo unaitwa pengo?
Ulitumwa humu kaka ukitafuta post za mwanzo upo...Yes huo huo mdau....hatimaye yametimia
Ulitumwa humu kaka ukitafuta post za mwanzo upo...
Mimi ninao jinsi ya kuweka humu ndo shida ngoja nijaribu kama nitawezaMdau mateso hayo ukizingatia natumia simu
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
Natafuta sana nyimbo za kundi moja liliitwa Mambo Poa wasanii walikua Spider, John Mjema (RIP) na wengine baadhi.
Mwenye nazo ntafurahi sana akiziweka hapa. Jamaa walikua na kipaji sana na sijui hata walikwama wapi tangu alivyofariki John...
Mwe
Mwenye wimbo wa Nash MC mitihani naomba
Mkuu kioo naomba wimbo wa afande sele unaitwa kama nitapata ukimwi
Wakubwa narudi kwa mara nyingi kuhusu Helena ya peapea entertainment kutoka Moro na Nyimbo za mwanahela.