Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta sana nyimbo za kundi moja liliitwa Mambo Poa wasanii walikua Spider, John Mjema (RIP) na wengine baadhi.

Mwenye nazo ntafurahi sana akiziweka hapa. Jamaa walikua na kipaji sana na sijui hata walikwama wapi tangu alivyofariki John...
 
Thanx mkuu KIOO umetishaaaaa

Daaaaah mkuu hizo ngoma nilizokuwekea hapo hata robo sijamaliza kati ya hizi nilizonazo kutoka kwa huyo jamaa.

Tatizo nafasi inanibana kuna time ila ntaendelea kukushushia mawe yake jamaa yuko vizuri namkubali sana NAME.
 
Poa mkuu ukipata time nitupie zingine
 
Us'waze kiongozi ntafanya hivyo bro. P1.
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
 
Sio waswahili by nature wimbo unaitwa pengo?
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
 
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
Unaitwa pengo. kila leo ninayo fikiria bwana pengo ili...
 
Kaka kuna nyimbo ya bongoflava ya zamani kidogo katika mistari jamaa walitaja kifo cha mengi na kuuliza kama kuna atakaetokea mrithi wa kifo chake maana ni kipenzi cha wengi......nauomba kama unao huo
 
Attachments

Back
Top Bottom