Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Write your reply...wadau naomba hizi nyimbo 1. deo mwanambilimbi-Siwezi sema kwanini. 2.nasma khamis kidogo-subalkheri mpenzi...nimezitafuta sana
 
Wajuba naulizia nyimbo zifuatazo
1. Helena toka kwa kundi moja mkoani Morogoro likiitwa PEAPEA entertainment
2. Vitu adimu yake Madmax
3. Nakutamani yake mwanaApolo video queen alikuwa Mainda yule msanii wa bongo movie zamani
4. Machozi iliyompa jina Hussein machozi alirekodia tetemesha wakati huo yuko Kagera
5. Kapu la mjanja sikumbuki band ila humo ndani yupo Eddie Sheggy.
6. Akili za pombe muimbaji simkumbuki ila chorus alipiga Mr. Ebbo
7. nyimbo zote za Taarab alizoimba mwana mama mwanahela na coast modern taarab.
8. Maridadi sana huu wimbo uliimbwa na kanjibai mmoja kama song hivi.
9. Mkuraba mkuraba unamashauri gani ya matona.
10. Nyimbo za Tongolanga kwa mwenye nazo pia.
 

Attachments

Jina la wimbo clipat vizur, lakini anaanza kwa kuimba ivo

Mpaka mtu awe ameuskia huo wimbo kama hajauskia inakuwa ngumu mpaka ajue nyimbo coz nyimbo zipo nyingi sana aisee. Thanks.
 
Back
Top Bottom