KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Ahad za boss by hard brain ft mangwair nautaftaga kinoma huu wimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahad za boss by hard brain ft mangwair nautaftaga kinoma huu wimbo
Naomba song La TID linaitwa Tuwalinde
Mkuu Samahani naomba wimbo Bang Bang jamaa fulani hv Senegal au Nigeria na nyimbo zote fela kuti pls...
wakuu naomba mwenye wimbo wa nimeamini remix wa Prof jay ft jaydee autupie.
Mwenye wimbo wa mask girl sina hali anipatie
Asante mkuu....Ila nilikua nataka audio yao ya kwanza co hii remix....
Wadau mwenye wimbo wa Rich mavoko-hata nazi ni tunda
Jina la wimbo clipat vizur, lakini anaanza kwa kuimba ivoHakikisha jina la wimbo mkuu.
Wajuba naulizia nyimbo zifuatazo
1. Helena toka kwa kundi moja mkoani Morogoro likiitwa PEAPEA entertainment
2. Vitu adimu yake Madmax
3. Nakutamani yake mwanaApolo video queen alikuwa Mainda yule msanii wa bongo movie zamani
4. Machozi iliyompa jina Hussein machozi alirekodia tetemesha wakati huo yuko Kagera
5. Kapu la mjanja sikumbuki band ila humo ndani yupo Eddie Sheggy.
6. Akili za pombe muimbaji simkumbuki ila chorus alipiga Mr. Ebbo
7. nyimbo zote za Taarab alizoimba mwana mama mwanahela na coast modern taarab.
8. Maridadi sana huu wimbo uliimbwa na kanjibai mmoja kama song hivi.
9. Mkuraba mkuraba unamashauri gani ya matona.
10. Nyimbo za Tongolanga kwa mwenye nazo pia.
Jina la wimbo clipat vizur, lakini anaanza kwa kuimba ivo