Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Dah kuna wimbo nautafuta kishenzi... Ila siufahamu jina lake... ila baadhi ya maneno yaliyopo ndani yanasema..." the grass is greener on the other side"...

Pia nimeweka clip flan ya youtube ambapo inapoanza tu unapigwa huo wimbo.



Naomba msaada kama kuna mtu anaaufahamu...
 
Wimbo wa kitambo kidogo "nimekufananisha we dada, nimekufananisha we sister, ndio maana Leo nimekuita....." Daah sijui aliimba nani
 
Wimbo: Mariam
Bendi:Remmy Ongala and Super Matimila.

Tafadhali mwenye nao..
 
Una uhakika na hilo jina la huo wimbo?nash kaida ana santuri 4 mpaka sasa na hamna ngoma inayoitwa jina hilo.au labda useme kiitikio kinaimbwaje tujue labda haikujumuishwa katika hizo santuri
Mkuu naomba kama una nyimbo ya nash mc-nilivyompata
uipandishe
 

Attachments

Kuna wimbo wa Marehemu Nasma Khamis unaitwa "Mambo ipo huku" nautafuta sana. Haupatikani Youtube
 
Back
Top Bottom