Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo umeimbwa na kikundi toka zbar unaimba hivi..

"Hivi sasa nasonga mbeleee... maisha yangu bila ya weweeee,...nawaachia yo wenzangu, umaskini mm ndani kwangu.,.

Nitafurahi sana nikiupata
 
Aisee natafuta Nyimbo ya The weekend ft drake ft kanye west ft nas ft ghostface killer ft ....

Mzgo unaitwa ' tell ya friend ni extended remix ya km dak12

Msaada
 
Mkuu mm nahitaji pini hii ya Mr Blue, sijui wimbo unaitwaje
 
kila ninavyozidi kizisikiliza na nyingine zinanijia maana mwaka nilikua nina kanda (tape) 198 nakumbuka na zote nilikua narecord vipind vya bongo flaver vya Abubakary Sadiq so nina correction naanza kuirudisha kupitia humu..

kuna hizi nyingine.
Jaji Hakim-hivi ndivyo ninavyofanya
Wakina Mike Tee- Masela ( hae hae masela, tupo kamili si masihala, hae hae masela)
Style Gani - jamaa wa kundi la kina joslyn
Zay B ft Jay Mo - Hatari Kitu Gani
Kafa- Kafa nani, usiulize we jua tuu amekufa.
Matomya- Mrembo na Uaminifu
Solid- Baba Jane
Zigzagg crue-jiko limenuna
bantu mcz-tangazo
 

Attachments

Una uhakika na hilo jina la huo wimbo?nash kaida ana santuri 4 mpaka sasa na hamna ngoma inayoitwa jina hilo.au labda useme kiitikio kinaimbwaje tujue labda haikujumuishwa katika hizo santuri
Mkuu naomba wa gk na fina mango mama
 
Back
Top Bottom