Yap ngoma ni yenyewe mkuu dah bongo bwana huwezi amini video ya hii ngoma alicheza bro wangu kabisaa toka nikutoke akiwa anasoma MUCE lakini video sijahi kuiona
 
Mkuu namba 1 na 5 umenikumbusha mbali sana
 
Mkuu salaam pls hebu nipm no yako fasta maana umenikosha sana
 
Yap ngoma ni yenyewe mkuu dah bongo bwana huwezi amini video ya hii ngoma alicheza bro wangu kabisaa toka nikutoke akiwa anasoma MUCE lakini video sijahi kuiona
nahic video nilikuwa nayo ngoja nitafukunyua kwenye Library yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…