Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Attachments

Oyaa niaje kamanda. Nina shida ya nyimbo kadhaa za zamani sana bongo flavors.
1. Diplomatz
2. Imam Abbas
3. Hasheem Dogo
4. Mambo gani crew
5. Saigon kalinyekalinye
 
1: niacheni nimuoe_john woka ft dully sykes
2: tuko bwaa rmx capital letaz
3: neema rmx John flower ft rogath catapila & banza stone
4: nyimbo za diamond sound zile za mwanzoni kabisa kimalu malu na nyinginezo
 
Back
Top Bottom