Asali wa moyo (original version) ya Inspector Haroun.
 
Habarini wakuu.

Kuna wimbo niliusikia mwaka 2012 nadhani muimbaji ni mkenya.. ila mashairi yake kidogo yako hivi;

...ingawa yupo hapa hapa duniani,
lakini uzuri kama katoroka peponi,
lazima mimi nimuweke ndanii."

Kama kuna mtu anaufaham tafadhali naomba anijuze japo jinale na mwimbaji. Ama ikiwa pana mtu anao, naomba
 

Attachments

hizo za daimondo saundo the best of the best kama unazo nyingine niwekee hapa tafadhali[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wakuu,hongereni sana kwa uzi kama huu,kuna baadhi ya nyimbo nazitafuta zikiemo
1.long distance lover-jay mo ft domokaya
2.mtoto wa raisi-qchief
3.ukibebwa jishkie-crazy buffa ft banana
4.nyimbo zote za war will!
Naomba kuwasilisha.
 

Attachments

Mkuu pls
1. Mr EBBO= VIPI HUTUONI
2. HARD MARD= SINA TENA MUDA
Msaada jamani
 
Mkuu napenda sana bounce alizotengeneza Producer Dunga kama unazo tafadhali nakuomba utuwekee kwenye huu uzi[emoji1545][emoji1545]
 

Attachments

Mkuu napenda sana bounce alizotengeneza Producer Dunga kama unazo tafadhali nakuomba utuwekee kwenye huu uzi[emoji1545][emoji1545]
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…