Mkuu KIOO naomba na ule “kilio cha wazazi” wa hawa jamaa Mchinga Sound,sina hakika sana na hilo jina ila unazungumzia kufa kwa wazazi.
1-Sina muda by hard mad ft fid q
2-Rafiki by Suma lee ft joh makini
Sasa nimebaki mkiwa eeeeeh
Sasa nimebaki mkiwa wazazi sina eeeh
Rogart Caterpillar eeeeh
Mistari nafkiri inaenda hivyo au nimekosea...?
Naomba “Chid beenz Ngoma itambae” official audio
Wadau natafuta wimbo papy sodolo 4 etoile.....
Mimi wakuu naomba nyimbo hizi hapa za marehemu Complex ft Noorah n Suma lee Taifa la Bongo
Complex ft Dataz and Squeezer Nyamaza
daah nimeusikia clouds jana na leo kila nikiusearch siupasti kabisaFred saganda.... Mr short
Pia mkuu naomba kama kwenye library yako utakuwa na hii ngoma ya Fm Academia walipigaga live inaitwa kitu kama “Dotoneta/Dotaneta” spelling sijui kama zipo sawa ila naomba kisia kisia tu utajua namaanisha ngoma gani.
Thanks in advance Sir.
Nimeusaka kila sehemu sijaupatadaah nimeusikia clouds jana na leo kila nikiusearch siupasti kabisa
Nimeusaka kila sehemu sijaupata