Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmm! Itanibidi Jumapili ijayo nikivizie hicho kipindi, na kurekodi hicho kipande cha huo wimbo.Ungeweka sample ya wimbo mkuu.
Haswaaa ndo huu sasaTabu, tabu na wewe...! Shida na wewe...! Mateso na wewe...! Bahati mbaya na wewe...! Au...?
duuuuh mkuu nipo mkoani kabsa mzeeeMkuu unapatikana wapi? Mimi niko Dar, kama uko hapa jijini naweza kukutafuta nichukue kwa flash.
Nyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe huo huo unaurudia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia tu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo nyimbo ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zimekaa Kama nyimbo za mazishi.
Uliza wasikikizaji wa nyimbo za Katoliki wawaambie.Chombo Cha mziki kikubwa Ni kinanda tu na tune Ni moja tu Cha tofauti ni maneno ya nyimbo na steps za kucheza na kurukaruka tu ndio kinatofautisha Kati ya kwaya moja na ingine.Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa!
Uliza wasikikizaji wa nyimbo za Katoliki wawaambie.Chombo Cha mziki kikubwa Ni kinanda tu na tune Ni moja tu Cha tofauti ni maneno ya nyimbo na steps za kucheza na kurukaruka tu ndio kinatofautisha Kati ya kwaya moja na ingine.
Uliza wasikikizaji wa nyimbo za Katoliki wawaambie.Chombo Cha mziki kikubwa Ni kinanda tu na tune Ni moja tu Cha tofauti ni maneno ya nyimbo na steps za kucheza na kurukaruka tu ndio kinatofautisha Kati ya kwaya moja na ingine.
Nyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe huo huo unaurudia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia tu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo nyimbo ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zimekaa Kama nyimbo za mazishi.
Majina ni changamoto, ila ninaweza kuweka lyrics:-
Kwa kuanza naomba hizi.
- Yesu alipokuwa ameketi mlimani Mizeituni, wanafunzi walimwendea wakamuuliza, tuambie mambo haya yatakuwa lini...
- Nitayainua, macho yangu, nitazame mlima, msaada wangu utatoka wapi...