Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunawimbo nimeusahau jina lake, ila kuna kibwagizo kinasema "SHIKA JEMBE YUKALIME WEWE MAMA WATOTO" huu wimbo nimeuulizia sana bila mafanikio
1-Funga zipu yako by dogori ft nature
2-Sio nguvu ya mganga by chidi benzi
Thanks a lot aisee am always good. I thank GOD for that.Miss you moo moo broh , hope uko fresh au sio. ?
So Lovely nimependa Playlist it is as good as you are kwa kweli. 9c.ASANTE sana kwa list yangu aisee [emoji109][emoji109]
Kioo hii nyimbo ya shida ni ya mbaraka mwishee ,nilikua nataka ile nyimbo aliyoimba remmy ongala nahis inaitwa TABU na sio SHIDA
@KIOO hapa bado bhana halafu ndo pamotoo [emoji4][emoji4]
kaisiki karungi ule wa kihaya
Alafu kwani bado haujaachia mpya toka kwako?
ukifosi kuwa mimi utakua jiniiii[emoji3][emoji3][emoji3] unatamani uwe mimi hongera mzee baba kwa hii ngomaHahahah bado ikishikuwa done tu lazma nikutupie PM you are my number one fun. Thanks a lot.
mzee baba kuna ngoma za hip hop za madada kama unazo nisaidieHahahah bado ikishikuwa done tu lazma nikutupie PM you are my number one fun. Thanks a lot.
Wimbo wa Masanja -ninakataaa uagali
Wadau, mimi kuna wimbo ninautafuta, ni wa siku nyingi sana. Sijui ni Manu Dibango yuleee........? Huo wimbo, huwa unatumika kinapoanza na kuisha kipindi cha AFRICA PANORAMA cha RADIO ONE, kila Jumapili jioni. Nitashukuru nikiupata!
Hahahah bado ikishikuwa done tu lazma nikutupie PM you are my number one fun. Thanks a lot.
ukifosi kuwa mimi utakua jiniiii[emoji3][emoji3][emoji3] unatamani uwe mimi hongera mzee baba kwa hii ngoma