Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Habari zenu wajemeni.
Mkuu KIOO naomba msaada tafadhali

Chun-Li, Nick minaji
Megatron.Nick minaji
Gucci mane ft Nick make love
 
Mr KIOO ningependa unijuze kuna nyimbo inaitwa "ndani ya tarehe"-HBC ndani yake kuna jamaa anajiita First Born anachana kama jamaa mmoja wa kwenye wimbo wa TMK majita- tunadatisha verse ya mwisho..ni yuleyule au flow kufanana tu??

Kama nyimbo hzo unazo vyema ukazitupia pia mkuu

"...na tujichanganye wote ndani ya tarehe... " unamaanisha hiyo ngoma kaka...?
 
Marshmello ft tyga -Light it up

Chris Brown ft drake -No guidance

Drake, Kiki na God's Plan

Jason derulo ft Nicki--Swala.

Jason derulo -goodbye

Dj snake ft tyga -Loco coco

Nicki minaj --Barbie Tingz na Barbie Dream

Yo got ft Nicki minaj --Rake it up

Future ft Nicki -you are the baddest

Tyga ft Nicki -Dip

KIOO [emoji4]
 
Marshmello ft tyga -Light it up

Chris Brown ft drake -No guidance

Drake, Kiki na God's Plan

Jason derulo ft Nicki--Swala.

Jason derulo -goodbye

Dj snake ft tyga -Loco coco

Nicki minaj --Barbie Tingz na Barbie Dream

Yo got ft Nicki minaj --Rake it up

Future ft Nicki -you are the baddest

Tyga ft Nicki -Dip

KIOO [emoji4]

Nimeku-miss sana my dear. Lol.
 

Attachments

Back
Top Bottom