Mkuu kazi yangu bado tu aisee..
Ukizipata nitumie pia
Umezipata?Poa poa kiongozi
Umezipata?
Nisaidie
Mapenzi kitu gani wa Mb Dogg
Nashukuru kila kuna ngoma mpya IPO kwenye album yake aliyoitoa juz unaitwa beti ngoma hii inazungumzia ish ya korosho mtwara nisaidie broo
Mkuu Kioo nisaidie nyimbo ya JAY MOE FT KIMYA JIPANGE
Kuna wimbo wa O-teni unaitwa mimi,nimeusaka kuupakua nimeukosa kabisa mwenye nao jaman anisaidie