Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu KIOO natafuta nyimbo za soul and face. Hawa ni vijana waliokuwa wakiimba R&B miaka ile ya 2000 mwanzoni. Kama hutajali naomba nyimbo zao zote ulizonazo maana hata majina sizikumbuki.
@kioo
 
Wakuu isha mashauzi ananyimbo inaitwa
Mapenzi hayana dhamana naitafta sana
Iliyopo neti inapiga upnde mmj wa spk
 
Cosmas Chidumule - Hosanna Original,

ukisearch google na youtube inakuja hosana amabayo si wimbo wa hosana.
Aongezee na wimbo unaitwa moyo wangu uwe na subira moyo subiri kwa bwana. Hapo chidumule alitambaa na maneno hatari
 
Nikki mbishi. ..utamaduni nitafuta saaaana alie nayo please please please
 
1: tuko bwaa rmx _ capital letaz
2: bui bui sijali mabaya
3: nako 2 nako _ ndio zetu
4: dani msimamo ft mkoloni _ aku
 
Rackaz crew - rockaz anthem nautafuta sana. Producer ni Lamar
 
Siujui jina lakini una chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...
 
Kuna wimbo sijajua aliimba nani baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo
I'm sorry mamii nateseka moyoni
Nimetekwa kimahaba na huyu jini mahaaba
Ooooooh raaziz ooooooooh kipeeeenzi oooooh sweeeet mwenzako sijiwezi
Mwenye nao anisaidie.
 
Back
Top Bottom