last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Unaitwa Bana ba congo,Jamani ule wimbo wa Simba akifungwa huwa wanaupost sana .....Unaimbwa Congo yetu ...........unaitwaje ule wimbo nautafuta sana
Bonge moja ya track hii .. RIP D Rob (Robert Mwingira)Nafkiri utakuwa unamaanisha Mpenzi Wangu.
Tutakukumbuka daima milele
Kioo natafuta wimbo flani ukipigwa sana RFA miaka flani, jamaa anasikika hivi "oooh jamani eeeh sikilizeni niwaeleze hayaaa, oooh ukimwiii........", msaada please.Funguo mbona nimeiweka jana tu aisee. Check page 1 au 2 za nyuma brother.
Pita hapo...
Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.www.jamiiforums.com
PA1.
KweliMkuu KIOO,nakukubali sana unatusambazia mangoma kibao humu.ila kwenye hili la album mpya ya nash nadhani waache wadau nao wamchangie jamaa hizo buku7,7 na jamaa angalau watoto wake wasiende chooni kunya povu.tuwasupport hawa mcs sio baadae tuanze kusema hiphop bongo hailipi,mara wasanii wa hiphop njaa njaa kumbe ni sisi ndo tunaowahujumu
Mkuu KIOO,nakukubali sana unatusambazia mangoma kibao humu.ila kwenye hili la album mpya ya nash nadhani waache wadau nao wamchangie jamaa hizo buku7,7 na jamaa angalau watoto wake wasiende chooni kunya povu.tuwasupport hawa mcs sio baadae tuanze kusema hiphop bongo hailipi,mara wasanii wa hiphop njaa njaa kumbe ni sisi ndo tunaowahujumu
Mkuu me nataka ya nash da gama ya zamanUlichosema ni sahihi kabisa kiongozi. Tayari nimeshafuta zile nyimbo kwa heshima na taadhima bro.
Thanks a lot.
Umeikuta wimbo wa "wamama watu wazima"?Nitumie kwa wasapu huo wimbo wa farida
Ni kweli sina hakika na jina la nyimbo lakini waimbaji ni Qchief na Mangwea ndani yake!Jina la wimbo sina hakika kama ni hilo Sorry mkuu.
Sijaliona huku mbona...?
Natafuta elimu ya mjinga tot video