Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Funguo mbona nimeiweka jana tu aisee. Check page 1 au 2 za nyuma brother.

Pita hapo...
Kioo natafuta wimbo flani ukipigwa sana RFA miaka flani, jamaa anasikika hivi "oooh jamani eeeh sikilizeni niwaeleze hayaaa, oooh ukimwiii........", msaada please.
 
JAMAN POLEN KWA KAZI NZURI NILIKUWA NAOMBA WIMBO WA MC NASH NAKUJA KAMA
KIOO
 
Mkuu KIOO,nakukubali sana unatusambazia mangoma kibao humu.ila kwenye hili la album mpya ya nash nadhani waache wadau nao wamchangie jamaa hizo buku7,7 na jamaa angalau watoto wake wasiende chooni kunya povu.tuwasupport hawa mcs sio baadae tuanze kusema hiphop bongo hailipi,mara wasanii wa hiphop njaa njaa kumbe ni sisi ndo tunaowahujumu
 
Kweli
me naomba tu Nash da gama niya muda
 
Mkuu KIOO,nakukubali sana unatusambazia mangoma kibao humu.ila kwenye hili la album mpya ya nash nadhani waache wadau nao wamchangie jamaa hizo buku7,7 na jamaa angalau watoto wake wasiende chooni kunya povu.tuwasupport hawa mcs sio baadae tuanze kusema hiphop bongo hailipi,mara wasanii wa hiphop njaa njaa kumbe ni sisi ndo tunaowahujumu

Ulichosema ni sahihi kabisa kiongozi. Tayari nimeshafuta zile nyimbo kwa heshima na taadhima bro.

Thanks a lot.
 
Jina la wimbo sina hakika kama ni hilo Sorry mkuu.

Sijaliona huku mbona...?
Ni kweli sina hakika na jina la nyimbo lakini waimbaji ni Qchief na Mangwea ndani yake!
Yaani Q-chief anatubu kwa demu kwa wakati aliomkosea!!
 
Back
Top Bottom