Mwenye wimbo wa Makamua uitwao 'Wanatamani' (original version, acha ile remix walifanya 2 in 1 kati ya Wanatamani ya Makamua na Staili Gani ya Moz B) tafadhali nauomba wadau.
Nahitaji ile original ya Makamua mwenyewe.
 
Ukipata Mda Pitia Threads Zote... Lazima Utaipata Tu... Ngoma Nyingi Sana Zimetupiwa Humu
 
Tabu, tabu na wewe...! Shida na wewe...! Mateso na wewe...! Bahati mbaya na wewe...! Au...?
Mkuu kioo hii ngoma ilishindikana kupatikana ya remmy ongala tabu na wewe?
 
Kumbe nature kawah imba na mo.. Sijawahi isikia hii

Wamegonga gonga japo sio kiviiile zinahesabika chache tu. Kuna ile waliimbia JWTZ, kuna Mida Mibovu wapi na P.Funk nafkiri Ferooz pia then kuna moja ya Jay moe nature kapiga chorus tu Ni Mshamba.
 
KIOO ebu jongea hapa huu wimbo hata mimi nimeutafuta sana Google sijaupata.

Sjui mnamaanisha huu...! Au sio huo...?
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…