Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kwema wakuu.
Kuna hii nyimbo ya Banana Zoro Sogea nikushike mkono, nimeitafuta sana bila mafanikio.

Masada wa kuipata tafadhari.
 
Sjui mnamaanisha huu...! Au sio huo...?
Mkuu wa Wakuu naomba ngoma Q chief tutaonana wabaya Naomba ngoma Kassim ile Usije Itamapaka leo Naomba Ngoma Fm ile Heshima kwa Mwanamke bila kusahau Ili Game ya Sugu Shukuran sna Mkuu...
 
Mwanangu Nimechelewa Sana Hii Kitu Ila Naomba Nisaidie Ngoma Ya
1: Umeondoka Mama Rmx Ya Afande Sele
2: Nimbo Za K Sal Yule Jamaa Aliyeimba Mkiwa Na Feruz Na Pia
3: Kuna Ngoma Moja Cjui Kaimba Nani, Ila Inaimbwa Hv.. Wanamwita Kaka Poa Huyu Jamaa, Wanamwita Mambo Safi Huyu Jamaa..

InCase Ukiiona Hii Nisaidie
 

Attachments

Mkuu wa Wakuu naomba ngoma Q chief tutaonana wabaya Naomba ngoma Kassim ile Usije Itamapaka leo Naomba Ngoma Fm ile Heshima kwa Mwanamke bila kusahau Ili Game ya Sugu Shukuran sna Mkuu...
 

Attachments

Mwenye wimbo wa Makamua uitwao 'Wanatamani' (original version, acha ile remix walifanya 2 in 1 kati ya Wanatamani ya Makamua na Staili Gani ya Moz B) tafadhali nauomba wadau.
Nahitaji ile original ya Makamua mwenyewe.
 

Attachments

Shukuran sna mkuu ila hili game ya Sugu mkuu na ile ngoma Kassim Mganga
 
Back
Top Bottom