Kwema wakuu.
Kuna hii nyimbo ya Banana Zoro Sogea nikushike mkono, nimeitafuta sana bila mafanikio.

Masada wa kuipata tafadhari.
 
Sjui mnamaanisha huu...! Au sio huo...?
Mkuu wa Wakuu naomba ngoma Q chief tutaonana wabaya Naomba ngoma Kassim ile Usije Itamapaka leo Naomba Ngoma Fm ile Heshima kwa Mwanamke bila kusahau Ili Game ya Sugu Shukuran sna Mkuu...
 
Attachments

Wakuu habar za majukumu,MTU mwenye nyimbo ya TBT CREW inaitwa CHINGA naomba anitumie
 
Mkuu Kioo naomba nitafutie nyimbo ya TBT CREW-inaitwa CHINGA nimeitafuta bila mafanikio
 
Mkuu wa Wakuu naomba ngoma Q chief tutaonana wabaya Naomba ngoma Kassim ile Usije Itamapaka leo Naomba Ngoma Fm ile Heshima kwa Mwanamke bila kusahau Ili Game ya Sugu Shukuran sna Mkuu...
 
Attachments

Mwenye wimbo wa Makamua uitwao 'Wanatamani' (original version, acha ile remix walifanya 2 in 1 kati ya Wanatamani ya Makamua na Staili Gani ya Moz B) tafadhali nauomba wadau.
Nahitaji ile original ya Makamua mwenyewe.
 
Attachments

Shukuran sna mkuu ila hili game ya Sugu mkuu na ile ngoma Kassim Mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…