mkuu kuna nyimbo kaimba adogado na belli 9 nazani inaitwa mapenzi msaada
 
Albam ya kwanza ya mr nice natafuta wimbo wake wa mama umeniacha
 
Kuna wimbo wa fanani yule wa HBC aliimbaga ""fanani wa uhakika katika anasikika nashika mike n pata shika"" long time sana huo wimbo i wish nikiupata nitanenepa sana
Pls mwenye kuujua na aliyenao naomba unitumie wasap namba 0657489670
 
Mkuu kuna wimbo wa kitambo unaimbwa hv
“Haki ya Mama minakupenda
Beibe beibee ninakupenda ee
Mnafuga Mbwa ntakuja na paka nami najua
lazima we utatoka
Kaka yako bondia siwezi kumkimbia
Nitakuja kwenu hata ukinibania
professor Jay huyu...
 
Kiyoo ntupie track moja ya q chief chorus inasema karolina mwite saraah mwambie kwenye dens kuna paree weita ×2 wewe letaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…