Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu KIOO naomba uniwekee wimbo wa
1. Aungurumapo simba huu umeimbwa na banza stone akiwa T.O.T plus sio ule wa twanga pepeta
2. Masimango ulioimbwa na T.O.T Plus Band

With thanks
Jembekillo
 
Wakuu mwenye wimbo wa "We ndo mchizi wangu" remix ya N2N ninauomba tafadhali.
 
Naomba ngoma hizi mkuu kioo nimetafuta sana sijui kama nitazipata
1. Usingizi soggy dog
2.Tmk manyigu mkao wa kula
3.squezer Mwisho wa mwezi
4.LWP Starehe gharama
5.Dudu baya ft stara thomas sikutaka
6.rich one Sauti yangu
7.unique sisters namtafuta
8.Moto unafuka dogo flani aliimba na bizman
 
Naombeni nyimbo za bibie Monica seka na Oliver ngoma
 
Kwa majina naitwa prem natafuta nyimbo ambayo siijui jina wala msanii

Lkn niliona video yake inaanza na mtu anatokea kwenye kitu kama mtungi huku anapuliza kitu kama filimbi hivi

Asanteni saana
HUO WIMBO UNAITWA INDIAN FLUIT (FILIMBI ZA KIHINDI) UMEIMBWA NA TIMBERLAND FT MAGOO UKIINGIA YOU TUBE UTAUPATA
 
Naomba ngoma hizi mkuu kioo nimetafuta sana sijui kama nitazipata
1. Usingizi soggy dog
2.Tmk manyigu mkao wa kula
3.squezer Mwisho wa mwezi
4.LWP Starehe gharama
5.Dudu baya ft stara thomas sikutaka
6.rich one Sauti yangu
7.unique sisters namtafuta
8.Moto unafuka dogo flani aliimba na bizman

Hahahahah kwanza niambie tezi TEZI JIKE ndio linakuaje mkuu...?
 
natafuta wimbo unaimbwa... joto harufu mbaya imetapakaa mwilini... nipo katikati ya mlima naelekea safarini
 
Wee kweli New Member karibu sana JF...!

Mkuu kuna wimbo wa kitambo unaimbwa hv
“Haki ya Mama minakupenda
Beibe beibee ninakupenda ee
Mnafuga Mbwa ntakuja na paka nami najua
lazima we utatoka
Kaka yako bondia siwezi kumkimbia
Nitakuja kwenu hata ukinibania
 
Gwankaja nikirudi kutoka katika mashimo ya mfalme suleimaan sintakusahau na huyu bwana mkuu kioo.
Niombeeni dua nirudi salama.

Mimi na bwana gwankaja tunasubiri tu urudi kwenye hayo mashimo ya mfalme suleimaan tunazidi kukuombea tu dua urudi salama. Ahsante.
 
Back
Top Bottom